Natafuta mchumba mwanamke

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Mimi ninaumri wa miaka 25 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18-24 awe na sifa zifuatazo;

-Mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli
-Elimu 4-6
-Asiwe mnene sana
-Sichagui kabila wala rangi
-Awe na kaz(siyo lazima
-Awe tayari kuishi na mimi na awe tayari kupima HIV

SIFA NILIZONAZO
-Ni maji ya kunde
-Mrefu 172cm
-Elimu fom 4

Kwa aliyetayari aingie kwenye pm nipo serious na hili

Asante na kazi njema wana Jf
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…