Habari zenu waungwana humu,
Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa, sifa zangu:
Muislam.
Mrefu kias.i
Umri wng 22.
Nimeajiriwa serikalini.
Sivuti sigara wala situmii pombe.
Mchumba ninae muhitaji awe na sifa zifuatazo:
Awe muislam.
Mrefu na mnene kidogo.
Asiwe anakunywa pombe wala kuvuta sigara.
MUST��
Awe anatokea mikoa ifuatayo-MOROGORO,MWANZA,SHINYANGA au TABORA
Elimu kuanzia IV na kuendelea
Kwa yeyote anaeguswa au kuhusika na huo Uzi namkaribisha �� @pm
Asanteni sana