gambalama_deo
Member
- Mar 11, 2021
- 24
- 19
Kijana ke or meMm kijana umri miak 26 , mwajiriwa serikalini, natafuta mchumba mwanajeshi ,umri miak 20-25 , mwenye hofu ya mungu.
MeKijana ke or me
NotedSimple tembelea maeneo ya mesi zao wapo weeengi ni wewe tu
Ewaaah, Mimi natafuta mwenye sifa ka zakoUnataka mpewe uraia wa Ukraine nini ili mkasaidie jeshi? , mimi nimepitia jkt yaani nilikua kuruta, nanga wa demo vipi sifai mkuu?
Mwanajeshi kafundishwa kuua, sasa hiyo hofu ya 'mungu' inatoka wapi? Labda maelezo juu ya mungu/ Mungu sio sahihi.Mm kijana umri miak 26 , mwajiriwa serikalini, natafuta mchumba mwanajeshi ,umri miak 20-25 , mwenye hofu ya mungu.
Wanajeshi mwenye miaka 20 labda umuumbe wewe mwenyeweMm kijana umri miak 26 , mwajiriwa serikalini, natafuta mchumba mwanajeshi ,umri miak 20-25 , mwenye hofu ya mungu.
Nitafute PM Nina ujumbe wako kutoka kwa madam NanaUnataka mpewe uraia wa Ukraine nini ili mkasaidie jeshi? , mimi nimepitia jkt yaani nilikua kuruta, nanga wa demo vipi sifai mkuu?
Hi babe Brake ya kenge😂 hilo jina lako tu😂Ewaaah, Mimi natafuta mwenye sifa ka zako
Mekumis sana, mzima lknHi babe Brake ya kengehilo jina lako tu
Nimependa hako kachupa alichovaa kifuani, hivi amehifadhia nini hicho?!Uwezi mpata mana umri uwo wengi ni masingle wako Mahangani kwa muda wa miaka 6 labda uende TAU pale ndo kuna mishangingi minguba mishankupe utaipata ila ma MTM vigori upati...View attachment 2133635
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app