Mi mndali je nitakufaa?
Fiki unawawabagua?Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,
Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 . nakutakia kila lakheli! ila unasafari ndefu sana dada unaweza ukuvujika moyo kabla hujapa alie wa kweli! ukarasa huu kunakila aina ya vijana nakutahazarisha sana uwe mwangalifu. nimepitia huko nemeona mengi! nakutakia siku njema!
Hahahaaaa! Ningekuwa mwanaume ningekukwapuaje fastaaaa! UTAPATA TUUU! Wishing you luck sema wengi bahili sana humu, bora ungesema bahili hatakiwi!!!! LOL! Pia MBA (MARRIED BUT AVAILABLE) UWE MAKINI NAZO!!!
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,
Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,
Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
Duh ! sipati picha ina maana huko unakoishi,unakofanya kazi unakotembelea ,hakuna kabisa wanaume wa kuku check madame mpaka ukairusha kwa JF.Nina wasiwasi sana huenda huna tabia ya kusabahiana na watu thus why still single.
Mwakata vuliMwakataa uli,
Jaribu kucheck na BofloHabari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
Mwakata vuli