Mkuu, huyo mzima tena sana. Si kashasema kuwa hajakatwa kwa hiyo hajapungua kitu huyo jamaa.
Ila mshikaji ni shujaa wa kweli maana kukaa na hiyo kitu inahitaji roho ya chuma na mademu kwake itakuwa hadithi hata akimpata kabla ya kuanza kungonoka atakuwa anakimbilia kuziba madirisha mwanga usiingie na anazima taa ili asione "Mgovi" wake.