Ww upo serious c ukishapewa namba tu! Unaanza kutangaza matatizo, mara hela ya kusuka, vocha, ooh nina shida ya 20000.....sasa km ww c wa hivyo mume umepata.
Kuna vituko huku acha tu. Twacheza ugenini na kulala home.
Offtopic, hapo kwenye signature, nnadili.
mwanaume kumuhudumia mke/mchumba nikitu cha kawaida na niwajibu kama we huwez pole na utasaidiwa na wenzio
mwanaume kumuhudumia mke/mchumba nikitu cha kawaida na niwajibu kama we huwez pole na utasaidiwa na wenzio
Ha ha ha akuuu mi si domo zege
hata nikihitaji kaserengeti boy natangaza tu namuogopa nani kwani?
wewe mwenyewe mbona haupo serious???