Natafuta mchumba alie serious kuoa

rajack

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
19
Reaction score
7
mm ni msichana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye yupo serious kuoa, mm ni mkristo na nna elimu ya ngaz ya cheti na nimeajiriwa kaktka kampuni moja kubwa dsm
sifa za mwanaume
umri:miaka24-30
dini:Mkrsto wa dhebu lolote na awe na hofu ya Mungu
elimu: form 6 nakuendelea
kazi: awe anafanya kazi
 
Mie 32 -nshakosa sifa kumbe!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hivi ukitumia ID yako ya siku zote utakosa nini?
 
Nitafte kwa pm kama upo tayar kuwa my mchepuko?
 

Sina Sifa Kutokana Na Ukijeba Wangu.
 
Ni PM namba yako nikutafute faster.
 
Toka atoe tangazo lake kawa kimya sijui kapata tayar?
 

Ww upo serious c ukishapewa namba tu! Unaanza kutangaza matatizo, mara hela ya kusuka, vocha, ooh nina shida ya 20000.....sasa km ww c wa hivyo mume umepata.
 
Ha ha ha akuuu mi si domo zege
hata nikihitaji kaserengeti boy natangaza tu namuogopa nani kwani?


Usipige kelele sana, moderator wamelala, watapita mitaa hii sasa hivi na ku merge! Unamfahamu bujibuji?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…