Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Mkuu samahani naomba kujua hawana mikia?Mkuu.
Sehemu ya picha za Rottweiler. Karibu
Na bleed zingine za mbwa zipo pia.
Hapana Mkuu. Huzaliwa na mkia but huwa inakatwa kwa mapenzi ya mfugaji. Nowadays binafsi napenda abaki na mkia.Mkuu samahani naomba kujua hawana mikia?
Aise nashukuru sana kwa majibu mazuri juu ya swali langu asante sana, napenda sana mbwa.Hapana Mkuu. Huzaliwa na mkia but huwa inakatwa kwa mapenzi ya mfugaji. Nowadays binafsi napenda abaki na mkia.
Kukatwa kwa mikia kuna sababu zake pia, ikiwemo asili ya huyu mbwa, security wise na matamanio ya mfugaji.
Asili ya Rottweiler walikuwa wanatumika kwenye mashamba kuburuta mizigo na hivyo ilionekana akiwa na mkia unamtinga kufanya hiyo kazi ipasavyo the wakaanza hiyo kukata mikia. Lakini pia iliaminika kwamba ukikata mkia, mbwa huwa na afya zaidi.
Security-wise; mbwa asiye na mkia ni ngumu sana kujua kama amefurahia uwepo wako au lah. Mara nyingi mbwa akifurahia uwepo hisia ya kwanza huwa kwenye mkia kwa kuuchezesha. Sasa asipokuwa na mkia ni ngumu kumjua.
Na upande wa matamanio ya mfugaji ni kama vile wengine u-crop masikio ya mbwa kama Doberman.
Sababu ingine ya kukata ni kwa sababu mikia yao huwa haiendani na miili yao kwa kuwa miembamba.
Machache ni hayo.
Karibu sana mkuu.Aise nashukuru sana kwa majibu mazuri juu ya swali langu asante sana, napenda sana mbwa.
Nashukuru Mkuu je kuna uwezekano wa Mbwa hawa wa kawaida KOKO kuzaa na jamii nyingine ya mbwa kama hao ulionao na wakawa vizuri?Karibu sana mkuu.
Binafsi ni Dog Lover pia.
Nina Rottweiller, German Shephered na Cross ya GSD na Labrador Retriever
Kihualisia hakuna Mbwa Koko. Mbwa ni matunzo tu. Huitwa Koko kwa sababu ya matunzo. Unaweza kutana na "Koko" mwenye matunzo na usiamini.Nashukuru Mkuu je kuna uwezekano wa Mbwa hawa wa kawaida KOKO kuzaa na jamii nyingine ya mbwa kama hao ulionao na wakawa vizuri?
Somo zuri sana mkuu naomba ukipata muda hebu andika kile unachojua kuhusu hawa Viumbe itakutangaza pia na kukuweka karibu na wateja.Kihualisia hakuna Mbwa Koko. Mbwa ni matunzo tu. Huitwa Koko kwa sababu ya matunzo. Unaweza kutana na "Koko" mwenye matunzo na usiamini.
Inawezekana kabisa kuzaa isipokuwa wengi huwa hawapendi kutoa chotara vinginevyo wapandane bahati mbaya.
Inshaalah Mkuu. Mungu atupe nafasi hiyo.Somo zuri sana mkuu naomba ukipata muda hebu andika kile unachojua kuhusu hawa Viumbe itakutangaza pia na kukuweka karibu na wateja.
Mkuu hawa ni wepesi kupata mafunzo kwani anamuonekano wa u korofiHapana Mkuu. Huzaliwa na mkia but huwa inakatwa kwa mapenzi ya mfugaji. Nowadays binafsi napenda abaki na mkia.