Nafikiri ni zaidi ya hiyo, pine tu ambao ni mti unaokuwa kwa haraka unachukua hadi 15 years kukomaa vizuri
Huo mpingo ndio balaa , kuna mmoja upo sehemu nimeuona toka nikiwa mdogo , sasa nina 40 years plus , bado upo vile vile, hadi kuwa mti kamili nadhami utachukua miaka 200 plus.