Kweli kuna utapeli kwenye vipimo. buguruni.kitu muhimu nenda na tape yako au fundi wako akague ile futi ajiridhishe haijakatwa na kuungwa then pima nakiri vipimo lipia tu make biashara ushindani.
Uliza hapa pale then hakikisha futi zao huwa wanazikata na kuunga mfano unapmima futi 18 kumbe ni 16 kiuhalisia.ukihakiki futi au ukaenda nayo bomba tu.