Natafuta mashine ya kunyonyolea kuku

Natafuta mashine ya kunyonyolea kuku

newtond

Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Kwa anayefahamu mashine za kunyonyolea kuku zinauzwa duka gan na shing ngap hapo maeneo ya dar
 
Kuna duka kariakoo wanauza nadhani ni milioni moja
 
Waone AfriGreen Equipment Co.ltd, Wapo Mikocheni Dsm Plot 298, Kairuki Road, Mob 0622088880 Au 0757117699
 
Dah... Angalia hao madalali wasikupige maana bongo walanguzi wengi. Usinunue zaidi ya laki 5. Kama hauna kuku wengi sana nunua Drilling machine kama ya elfu 70 kisha tengeneza yako mwenyewe 🙂🙂

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom