Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 637
Asante bossUna shilingi ngapi nikuunganishe na mdau sema nahisi yeye anakodisha ila ishu maelewano.
Sawa bossKama hutaki mbovu nenda shop boss........
Basi hata kama ya udalali ajeulikataa udalali mkuu
sawa mkuu ukiipata naomba niwe mmoja wa vijanawako wa kaziBasi hata kama ya udalali aje
Kama bado una uhitaji nayo.. ninayo mashine nimetumia myezi mitatu tu.Habari wana JF,
Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahitaji mashine ya juisi ya miwa kwa mwenye nayo aje tuongee.
Vigezo
- Iwe inafanya kazi vizuri, usijaribu kutaka kuniuzia mashine mbovu kwani ninazijua
- Ni kwa watu wa Dar es salaam tu, maana mimi nipo mbagala
- Kuhusu ishu za bajeti njoo inbox kwa maelezo zaidi kama kweli una hiyo mashine