Nipo lamadi ila kuna mashamba kijiji cha sernget wilaya ya bunda mkoa wa mara, mashariki yapo karibu na hifadhi ya wanyama serenget nation park, kusin yanaenda mpaka mtoni na kuna misitu ya ktosha mto mbaraget, mgaribi yapo karibu na ziwa vikitoria kama km moja hiv, na kazikazin, bunda mjini 18km, ni pm 0783327380