Wakiwa bado wanalipa wanairnga sana baada ya kuwa route ya Kariakoo kila mtu anaenda na kurudi, wanatafuta wakupunguzia mawazo.
Mwisho msichana kuringa ni 21 baada ya hapo huna wakumringia na watoto wanavyozaliwa wazuri aiku hizi.......
Ukiona mtu anatafuta mtu mtandaoni jua hashikiki huyo mtu tena ni hatari kuliko hatari yenyewe