T TUMY JF-Expert Member Apr 22, 2009 705 93 Jan 14, 2012 #41 Umeanza kwa mkwara kweli kweli: Ila sina uhakika kama wewe mwenyewe unajielewa pia na kama unajiheshimu.
Umeanza kwa mkwara kweli kweli: Ila sina uhakika kama wewe mwenyewe unajielewa pia na kama unajiheshimu.
E elia mgina Member Dec 29, 2011 27 2 Jan 14, 2012 #42 Kbd said: I thwea in the name of gazatte mi ni rafiki wa nguvu kwelikweli kupita woote. Ila sina uhakika na kujielewe waweza nisaidia plssssssss!!! Click to expand... imetulia hyo...............:shock:
Kbd said: I thwea in the name of gazatte mi ni rafiki wa nguvu kwelikweli kupita woote. Ila sina uhakika na kujielewe waweza nisaidia plssssssss!!! Click to expand... imetulia hyo...............:shock:
ntamaholo JF-Expert Member Aug 30, 2011 12,906 6,909 Jan 15, 2012 #44 makomimi said: natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia. Note: Sihitaji urafiki wa kimapenzi hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu. Click to expand... we mtoto wewe, unatuaibisha rockcity. Marafiki wanatafutwa kule kwa wabana pua, facebook siyo hapa kwa watu wanaotumia mda wao kutafakari. Haya sign out uende face buk
makomimi said: natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia. Note: Sihitaji urafiki wa kimapenzi hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu. Click to expand... we mtoto wewe, unatuaibisha rockcity. Marafiki wanatafutwa kule kwa wabana pua, facebook siyo hapa kwa watu wanaotumia mda wao kutafakari. Haya sign out uende face buk
Kbd JF-Expert Member Oct 9, 2009 1,260 447 Jan 15, 2012 #45 elia mgina said: imetulia hyo...............:shock: Click to expand... Umeona eheee??
KiuyaJibu JF-Expert Member Aug 29, 2007 841 175 Jan 16, 2012 #46 Haya tena;unasema!Ok,tuwasiliane kwa lengo la kufahamiana zaidi.
salito JF-Expert Member Dec 29, 2011 1,408 716 Jan 16, 2012 #47 Nijaribu mimi halafu ndio utajua kama njiheshimu na kujielewa au laa na pia utakuwa frii kunimwaga ukiona sikufai...
Nijaribu mimi halafu ndio utajua kama njiheshimu na kujielewa au laa na pia utakuwa frii kunimwaga ukiona sikufai...