Natafuta mapenzi ya kweli, lakini sipati!

Usijali utapata but jichunguze wewe kwanza una tatizo gani mpaka inakua hivyo kwa kila mwanamke unaempata.
 

well said, nimekuelewa vizuri saana mkuu wangu....
 
Badala ya kuomba uchumba unaomba papuchi!
Either modify your dreams or magnify your skills
Tatizo ni wewe.

Badala ya kuangalia the inner beauty,
Unaangalia outer beauty!
Tatizo ni wewe.

Badala ya kutafuta wako umkamilishe.
Unatafuta aliyekamilishwa na wengine!
Tatizo ni wewe.

True INTIMACY can NEVER be achieved without personal COST,
But the benefits outweigh the PRICE
 
ukiendelea kutafuta hautalipata kamwe
 
Don't look for someone who truly loves you. But rather love someone truly
 
Huyu jamaa bana sijui yukoje!!!! Wife material ndo nini sasa? Unakula vichwa weeeeee alafu unataka material.na uliowala na kuwamwaga waolewe na nani? Acha ubadhirifu wa wanawake.
 
ukitaka mapenzi ya kweli anza wewe kwanza kutoa mapenzi ya kweli. Reflection of good love is always good love
 
Ninavyoelewa ukirstu agreement pekee inayoruhuxu tendo la ndoa ni ndoa iliyofungwa kanisani. Hizo agreement nyingine ni uzinzi na uasherati. Sikuhukumu, tuko wengi kwenye kundi hili.
 
we mwenyewe ni dhairi sio material Man, sasa utapataje material wife? Jitathmini kwanza
 
Tatizo lako unaonba ngono badala ya mapenzi tofautisha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…