huu uzi wengi wanauchangia kiushabiki kulingana na jinsia. ieleweke sijaweka background yangu hapa, wala sijasema kilichopelekea nikabreak na x gal wangu. labda tu ieleweke mimi sio kicheche wala Malaya najitambua na nina hofu ya Mungu. sijawahi kuzini na gal anayejirahisisha na huwa ninawakwepa sana. Najiamini sana kuwa mm ni material husband... Hitajio la moyo wangu sio ngono bali true luv
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani... sielewi mabinti wa leo mnapoelekea
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.. sielewi mabinti wa leo mnapoelekea
Shukuru mungu kaka,tena acha uasherati kabisa utampata mwenza wa maisha! Wenzio waliojifanyaga viboloika sahivi wanaishi kwa nguvu ya dawa mkuu...tek care!
Asiyejua pendo, apendwapo hapaoni
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.. sielewi mabinti wa leo mnapoelekea
usilolijua ni kama usiku wa giza...