S son shaka New Member Joined Jul 7, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jul 9, 2015 #1 Habari zenu wana Jf, Mi ni msanii, nina kipaji kizuri tu cha kuimba, natafuta meneja, mimi naishi Dar. My No: 0717 459 104, Naomba tufanye kazi..
Habari zenu wana Jf, Mi ni msanii, nina kipaji kizuri tu cha kuimba, natafuta meneja, mimi naishi Dar. My No: 0717 459 104, Naomba tufanye kazi..
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Jul 9, 2015 #2 Mimi hapa tuwasiliane; 0789254898 au niPM, ewe Diamond ujae.
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Jul 9, 2015 #3 John Ezekiel said: Mimi hapa tuwasiliane; 0789254898 au niPM, ewe Diamond ujae. Click to expand... Mkuu john Ezekiel si kishaweka No mdau hapo juu,si ungempigia tu ujue utamsaidiaje au unamtegea ili akutafute wewe ili baadae yawe kama ya chief Kiumbe na Sheta. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
John Ezekiel said: Mimi hapa tuwasiliane; 0789254898 au niPM, ewe Diamond ujae. Click to expand... Mkuu john Ezekiel si kishaweka No mdau hapo juu,si ungempigia tu ujue utamsaidiaje au unamtegea ili akutafute wewe ili baadae yawe kama ya chief Kiumbe na Sheta.
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jul 9, 2015 #4 aione: ruge wa mawingu
East African Eagle JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 3,759 Reaction score 2,209 Jul 9, 2015 #5 son shaka said: Habari zenu wana Jf, Mi ni msanii, nina kipaji kizuri tu cha kuimba, natafuta meneja, mimi naishi Dar. My No: 0717 459 104, Naomba tufanye kazi.. Click to expand... Weka walau kipande cha wimbo ulioimba watu wakupime.Na vizuri ueleze ulishaimba wapi pia
son shaka said: Habari zenu wana Jf, Mi ni msanii, nina kipaji kizuri tu cha kuimba, natafuta meneja, mimi naishi Dar. My No: 0717 459 104, Naomba tufanye kazi.. Click to expand... Weka walau kipande cha wimbo ulioimba watu wakupime.Na vizuri ueleze ulishaimba wapi pia
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Jul 9, 2015 #6 Ebu imba kwanza tuone kama utaweza kupenya intaneshno kama yule jamaa
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 748 Reaction score 367 Jul 10, 2015 #7 Mimi nina hela ila sina idea ya biashara hiyo pls tuma mchanganuo wa biashara ya hyo ya mziki hapa matendoandrew@gmail.com
Mimi nina hela ila sina idea ya biashara hiyo pls tuma mchanganuo wa biashara ya hyo ya mziki hapa matendoandrew@gmail.com
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 238 Jul 10, 2015 #8 .............mimi ni msela, siwezi kwenda jela, nikienda jela, narudi na mahela....... ****singing****
.............mimi ni msela, siwezi kwenda jela, nikienda jela, narudi na mahela....... ****singing****
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 748 Reaction score 367 Jul 10, 2015 #9 chiefmshujaa said: Nauza line ya uwakala wa tigo pesa kwa bei poa Click to expand... wamekusoma mkuu
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,376 Jul 10, 2015 #10 Ahahahaha....wasanii wetu bana...unatafuta management au unatafuta manager? Na management iku-manage kipi hasa ulichonacho?...kipaji?...mnhhhhh.
Ahahahaha....wasanii wetu bana...unatafuta management au unatafuta manager? Na management iku-manage kipi hasa ulichonacho?...kipaji?...mnhhhhh.