Unachokitaka kiko practically impossible! A male friend so close......! Unatoka nae wk moja baada ya nyingine! Hakuna r/ship za hivyo! You can only stay like that with your sister or brother!!
Sema unachotakiwa kukifanya!! Which I understand ni kwamba you definitely need a male companion. Something which can work ni kuweka hivo vigezo mbele kabisa Kwamba I we need to know each other! Mutual understanding leads to mutual respect which leads to Love!
Vinginevyo hao wanaume wote walioku PM wanataka kukugegeda tu! Utawatambua kwa matendo yao!
Thread closed!!!!!
Npo 0653741463
Siko interested na sexmate i just need a friend, its possible to have a friend wa jinsi tofauti sema watz mnaendekeza sana ngono,thanx kwa views zako bt sex is not my priority for now
Mwenzenu kasema hamuwezi urafiki bila ngono so nimeghairi kwani sitaki kuruhusu kutumika
huna lolote wewe unajishongodoa tu,,ushawagongea visa nyomi ya kutosha.
Matumbo kashfa za nini?hunijui so u dont have the right to speak ill of me
So, what u wanna do ??.... acha kujaza server ya JF apa sio sehemu ya kupunguzia stress zako...
Kwi kwi kwi we nakupata sana ndo tabia yako una maneno ya shombo ila si tatizo lako ni neighbourhood uliyozaliwa na kukulia ndo imekuathiri
so can we be friends??i want to change if u can re-shape me..
Karbu ndug,0656643213 km hautojal,ck njma
UTAMCHUNA!!??? AU UTATUMIA PESA YAKO KWENYE HIYO KAMPANI?? MAANA KAMA NI KUCHUNANA HAIFAI,KUNA MDOGO WANGU NAE YUPO LONELY..angekufaa shida ni uje kumchuna wakati hautoi hiyo naniliii!!Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
UTAMCHUNA!!??? AU UTATUMIA PESA YAKO KWENYE HIYO KAMPANI?? MAANA KAMA NI KUCHUNANA HAIFAI,KUNA MDOGO WANGU NAE YUPO LONELY..angekufaa shida ni uje kumchuna wakati hautoi hiyo naniliii!!