Wandugu,
Natafuta mashine kubwa ya kuranda na kukata mbao, nahitaji kuitumia katika workshop yangu. kwa mtu ambaye anayo, tafadhali tuwasiliane kwa kunipm, isiwe ya Kichina wala ya Kibongo, iwe imetengenezwa nchi nyingne zaidi ya Tz (sido) na China.
Kwa mwenye nayo au anayeweza kuniwezesha kupatikana tuongee biashara tafadhali.
Thanks.