JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 10, 2016 #1 Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta line hizo kwa mpendwa anayehitaji ujira mdogo kwa kazi hiyo. Sina pesa nyingi za kununua line hizo, nitafurahi zaidi kupata line hizi kwa majina yangu. Asanteni.
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta line hizo kwa mpendwa anayehitaji ujira mdogo kwa kazi hiyo. Sina pesa nyingi za kununua line hizo, nitafurahi zaidi kupata line hizi kwa majina yangu. Asanteni.
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 10, 2016 Thread starter #2 Zinatafutwa siyo inatafutwa, samahani kwa usumbufu.
C chasowa Member Joined Apr 2, 2016 Posts 14 Reaction score 4 Aug 10, 2016 #3 Ninayo ya Airtel Money km unahitaji tupia number yako
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,378 Aug 10, 2016 #4 WEKA OFFER YAKO WATU WAKULETEE UTAKACHO....
J jamaliprint Member Joined Feb 28, 2015 Posts 33 Reaction score 32 Aug 10, 2016 #5 Check me with 0718-654070 zote utapata kwa majina yako na nafuu zaidi
mkandumbwe JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 424 Reaction score 371 Aug 10, 2016 #6 Kama utahitaji mashine ya maxmalipo nitakupatia kwa 450000 tu Call. 0732 000 001
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 11, 2016 Thread starter #7 chasowa said: Ninayo ya Airtel Money km unahitaji tupia number yako Click to expand... bei gani mkuu?
chasowa said: Ninayo ya Airtel Money km unahitaji tupia number yako Click to expand... bei gani mkuu?
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 11, 2016 Thread starter #8 jamaliprint said: Check me with 0718-654070 zote utapata kwa majina yako na nafuu zaidi Click to expand... mkuu nimejitahidi sana kukupigia hupatikani, nimetuma msg wapi ila baadae ikaingia napiga simu haiopatikani.
jamaliprint said: Check me with 0718-654070 zote utapata kwa majina yako na nafuu zaidi Click to expand... mkuu nimejitahidi sana kukupigia hupatikani, nimetuma msg wapi ila baadae ikaingia napiga simu haiopatikani.
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 11, 2016 Thread starter #9 mkandumbwe said: Kama utahitaji mashine ya maxmalipo nitakupatia kwa 450000 tu Call. 0732 000 001 Click to expand... hiyo ninayo mkuu.
mkandumbwe said: Kama utahitaji mashine ya maxmalipo nitakupatia kwa 450000 tu Call. 0732 000 001 Click to expand... hiyo ninayo mkuu.
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 11, 2016 Thread starter #10 Who Cares? said: WEKA OFFER YAKO WATU WAKULETEE UTAKACHO.... Click to expand... elfu 50 kila line maana biashara imeanguka sana.
Who Cares? said: WEKA OFFER YAKO WATU WAKULETEE UTAKACHO.... Click to expand... elfu 50 kila line maana biashara imeanguka sana.