A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Mar 2, 2014 #1 nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:- niweze kusajili kwa jina langu isizidi bei 600,000/= call 0779420000
nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:- niweze kusajili kwa jina langu isizidi bei 600,000/= call 0779420000
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Mar 3, 2014 #2 tafuta kwanza kuna link kibao wanauza hzo line search kwanza unaweza ukapata
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 223 Mar 4, 2014 #3 alikhalef said: nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:- niweze kusajili kwa jina langu isizidi bei 600,000/= call 0779420000 Click to expand... Kuwa mwangalifu wauzaji wengi humu ukimwambia mkabadili jina wengi wanaleta utata, kuna wawili nimewapata kwa 600,000 wanasema jina wanakubalishia week 2 baada ya kuuziana si utata huo? Sent from my iPhone
alikhalef said: nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:- niweze kusajili kwa jina langu isizidi bei 600,000/= call 0779420000 Click to expand... Kuwa mwangalifu wauzaji wengi humu ukimwambia mkabadili jina wengi wanaleta utata, kuna wawili nimewapata kwa 600,000 wanasema jina wanakubalishia week 2 baada ya kuuziana si utata huo? Sent from my iPhone