Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe na Intel I series(i5 kuendelea) na gen ya 4 kwende juu
2. ram gb4/8
3. HDD/SSD(500/258)
4. ikiwa slim kiasi itapendeza pamoja na graphics card nzuri.
Bajeti 500k
Nawasilisha.
NAPATIKANA KAWE DAR ES SALAAM