Natafuta laptop used iwe Nzima

Natafuta laptop used iwe Nzima

mtekaji

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
54
Reaction score
59
Specifications
Ram atleast 4gb
Hard disc atleast 400gb
Kwa laki mbili napatikana dar
 
Mimi ninazo mbili uje uchague, nilikuwa nazitimia ofcn
Tuwekee specifications zake tu mkuu, manana sio lazma sana ufunge safari mpaka kwako kuja kuagalia tu. Wakat hata kuja huko ni kuja kukagua specifications ambzo ungeweka hapo ungejua tu mteja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom