Natufuta laptop iwe nzima haijafunguliwa dell au hp. Screen 12" or 13" Ram 1gd na zaidi Hard disk 250 na zaidi
Umeshapata laptop ? Kama bado ni PM halafu sema unapatikana wap
Nanayo ya Samsung Ram Gb 4 na HDD 500 kwa laki 450,000 kama uko poa nchek 0716 421233