Natafuta laini ya tigo pesa na max malipo

mama kokuu

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
131
Reaction score
22
Jamani natafuta mtu anaeuza laini ya tigo pesa na mashine ya max malipo
 
Ww sema unauza sh ngap au nipe namb yko nikupigie
 
Me ninazo kwa 1,500,000 kama vp ni pm tufanye biashara
 
Laini ya tigo laki 6 voda laki 2 anayehitaji anicheki nipo dsm
 
kuhusu maxmalipo Mama koku nenda pale millenium tower kama upo dar maxmalpo kipya ni lak8 then lak3 wanakuwekea ya kuanzia huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…