M Mahamud_2014 New Member Joined Feb 7, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Feb 8, 2014 #1 Habari wanaJF, Natafuta gari Toyota vitz ya kununua ya kuanzia mwaka 2004,,engine cc kuanzia 1000 kushuka chin,automatic. Anaeuza anichek 0759683016 niko Dar.
Habari wanaJF, Natafuta gari Toyota vitz ya kununua ya kuanzia mwaka 2004,,engine cc kuanzia 1000 kushuka chin,automatic. Anaeuza anichek 0759683016 niko Dar.
Mahamud_2000 JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 200 Reaction score 99 Feb 10, 2014 #2 Nimeipata gar,,shukran kwa wote tuliowasiliana baada ya tangazo hili. Thanks chalii wa ara kwa kunisaidia kuipata.
Nimeipata gar,,shukran kwa wote tuliowasiliana baada ya tangazo hili. Thanks chalii wa ara kwa kunisaidia kuipata.