nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Nov 25, 2016 #1 Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455.
Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455.
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Nov 25, 2016 #2 Una milioni kumi?
Gaspare Mbile JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 1,567 Reaction score 1,605 Nov 25, 2016 #3 Kama unataka mpya kutoka Yard,si uende yard jikoni kwenyewe.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,077 Reaction score 132,546 Nov 26, 2016 #4 nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Hii gari Iko vizuri sana.. Attachments IMG-20161125-WA0081.jpg 105 KB · Views: 81 IMG-20161125-WA0080.jpg 103.5 KB · Views: 86 IMG-20161125-WA0079.jpg 89 KB · Views: 74 IMG-20161125-WA0078.jpg 81.8 KB · Views: 77
nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Hii gari Iko vizuri sana..
simon41 Member Joined Apr 25, 2009 Posts 97 Reaction score 55 Nov 26, 2016 #5 Nunua yenye injections not caburator.
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,308 Nov 28, 2016 #6 nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Habari yako.? Kama bado unahitaji, tafadhari wasiliana nami. Karibu!
nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Habari yako.? Kama bado unahitaji, tafadhari wasiliana nami. Karibu!
YonDu Udonta JF-Expert Member Joined Aug 6, 2016 Posts 723 Reaction score 569 Nov 28, 2016 #7 MAGARI7 said: Habari yako.? Kama bado unahitaji, tafadhari wasiliana nami. Karibu! Click to expand... Kwa namba zipi sasa mkuu... yeye si katoa namba
MAGARI7 said: Habari yako.? Kama bado unahitaji, tafadhari wasiliana nami. Karibu! Click to expand... Kwa namba zipi sasa mkuu... yeye si katoa namba
Jeff Albert Senior Member Joined Jul 19, 2015 Posts 136 Reaction score 37 Nov 28, 2016 #8 nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Ninayo Bado NZURI T....DCV una M10?
nyaggad said: Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455. Click to expand... Ninayo Bado NZURI T....DCV una M10?
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Nov 28, 2016 Thread starter #9 Jeff Albert said: Ninayo Bado NZURI T....DCV una M10? Click to expand... Nicheki Kiongozi tuwasiliane bado nahitaji!.
Jeff Albert said: Ninayo Bado NZURI T....DCV una M10? Click to expand... Nicheki Kiongozi tuwasiliane bado nahitaji!.
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Nov 30, 2016 Thread starter #11 Bado sijapata mkuu nicheki inbox!
Sam 2023 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,829 Reaction score 1,979 Apr 11, 2020 #12 simon41 said: Nunua yenye injections not caburator. Click to expand... Ya injection ni ipi? Na ya carburator ni ipi?
simon41 said: Nunua yenye injections not caburator. Click to expand... Ya injection ni ipi? Na ya carburator ni ipi?