Natafuta kliniki ya meno dar

Joined
Jan 24, 2013
Posts
71
Reaction score
33
Natafuta huduma kama hii ya kurekebisha meno kwa hapa dar na pia kwenye malipo nitumie kadi yangu ya bima NHIF

 
Kutafuta hiyo clinic nayo tetesi?
 
Hayo ni matibabu kwanza Tambua kwa ajili ya meno ambayo yamekaa ama yameota vibaya......gharama inategemea na kila Dr. Bima haihusiki ni cash kama bado haujapata Dr. Nitext PM nikupatie namba ya Dr. Anaetoa hiyo huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…