kahwajr2 Senior Member Joined Jun 20, 2015 Posts 122 Reaction score 2 Oct 16, 2015 #1 Habar wana Jf kama heading inavyojieleza nafafta kiwanja mkoan Tanga mjn maeneo ya kange au pongwe
Ficus JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,438 Reaction score 1,124 Oct 16, 2015 #2 Una kiasi gani tukuthaminishe?
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Oct 17, 2015 #3 Nina kiwanja kange nyuma ya kiwanda cha pembe , sema bajeti yako kama unaona aibu kuweka bajeji yako ni pm .kiwanja ni 40 x40 nimeshaweka mawe kama trip 5 hivi
Nina kiwanja kange nyuma ya kiwanda cha pembe , sema bajeti yako kama unaona aibu kuweka bajeji yako ni pm .kiwanja ni 40 x40 nimeshaweka mawe kama trip 5 hivi