mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 222
Kiwe kina ukubwa wa
Kujenga Nyumba Ya Vyumba 4 Na Parking ya Magari 3 plus hizo sifa
nilizotoa hapo Juu
Njoo Kigamboni Mwasonga, kuna heka 8 kila moja milioni 4 na mazungumzo yapo. Utakatiwa eneo kutokana na mahitaji yako. Pana sifa zote ulizozitaja isipokuwa umeme ndio unakuja.
Unaweza kufuga, kulima, maji ya kuchimba na pana mto karibu.
mkuu mimi nina kiwanja mbezi maramba mawili kama vipi ni PMNatafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa hivi au hata baada
ye ,Maji na Umeme Yawe Yameshafika naKiwe kinafikika kwa gari..Natanguliza Shukrani
Kipo mbezi beach pia tegeta
Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa hivi au hata baadaye ,Maji na Umeme Yawe Yameshafika na Kiwe kinafikika kwa gari..Natanguliza Shukrani
Mwasonga iko wapi mkuu? Njia ya kimbiji au?
Hiki hakijauzwa?Magomeni Fundikira kuna kisehem cha kama vyumba vinne straight 1 Mil.
0766589444
njoo nkuuzie kiwanja changu kigamboni amani gomvu, hakipo mbali na barabara kuu ya lami inayoendelea jengwa.....kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700, kiwanja kimepimwa
salasala , mbweni , tuwasiliane ninavyo viwanaja vina hati kabisa
Njoo kimara suka maeneo ya golani 1.3km from morogoro road. kina ukubwa wa hatua 25x40 na kina msingi full wa nyumba bei 15m maelewano yapo kidogo 0714783571
Asanteni Wakuu kiwanja nimeshapata sehemu niliyoitaka