Natafuta kiwanja

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Wapendwa natafuta kiwanja cha 3000000 maeneo kuanzia kimara up to mbezi mwisho kwa ambae anacho
 
Kuna viwanja vinauzwa but vipo msongola kwa temeke ni mbele ya mbande kwa ilala ni mbele ya kitunda bei zina anzia 2 mil . ukiwa interested nitupie namba pm
 
Piga namba hii utapata mbezi msumi njia ya kutokea wazo hill
0713968634
 
Wapendwa natafuta kiwanja cha 3000000 maeneo kuanzia kimara up to mbezi mwisho kwa ambae anacho

mbezi msakuzi/mpigi vipo karibu na bara bara kuu, kama unaweza kuongeza ela kidogo nicheki kwa no. 0784 707789
.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…