G Geronimo Member Joined Jul 1, 2011 Posts 28 Reaction score 9 Jul 21, 2011 #1 natafuta kiwanja maeneo ya kigamboni.Prefferably chenye hati ingawa hata unsurveyed kinaweza zingatiwa. Size kiwe medium density au low.
natafuta kiwanja maeneo ya kigamboni.Prefferably chenye hati ingawa hata unsurveyed kinaweza zingatiwa. Size kiwe medium density au low.
Sokwe Mjanja JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 575 Reaction score 297 Jul 23, 2011 #2 Mkuu unapenda Kigamboni sehemu gani? Kama vipi ni PM nikulengeshe kama uta maind sehemu inaitwa Mwembe mmoja, ni kilomita 19 toka feri njia ya kwenda Kimbiji kwa mantiki hiyo ni nje ya mradi
Mkuu unapenda Kigamboni sehemu gani? Kama vipi ni PM nikulengeshe kama uta maind sehemu inaitwa Mwembe mmoja, ni kilomita 19 toka feri njia ya kwenda Kimbiji kwa mantiki hiyo ni nje ya mradi
B brianjames11 Member Joined Feb 17, 2011 Posts 37 Reaction score 10 Jul 23, 2011 #3 Huko kimbiji viwanja vinakwenda kwa bei gani? na je kumepimwa? na mimi nina interest na kiwanja maeneo ya kigamboni.
Huko kimbiji viwanja vinakwenda kwa bei gani? na je kumepimwa? na mimi nina interest na kiwanja maeneo ya kigamboni.