Natafuta kiwanja mwanza

1.2 ! aisee jichange ndugu
 
Jenga chapu. Utafute hati ardhi
Nitajitahidi kufanya hivyo, maana nimepigwa milioni 17 halafu za mkopo.

Mimejitahidi kukaza na kuhonga ndio mpaka Sasa imerudi 5M na mmoja Yuko jela mwaka 1.

Kwenye hiyo 5M ndio nikawa natafuta eneo, nimekutana na Matapeli wengi mnoo. Sema kwa wakati huu nilikuwa nawashtukia.
 
Wapumbavu sana wale ...nacchukia sana matapeli ...,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…