Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Kwa iyo bajeti bado sana kupataMada tajwa yahusika
Nna milioni 1 nataka kiwanja Mwanza ,kiwe mahali ambako kuna huduma ya maji na umeme,sitaki madalali
Kama kipo tupia comment yako hapa
Ingawa hata Magu pia ni Mwanza
Thubutu!Hahahaaa kweli mkuu labda magu anaweza kupata
Kina ukubwa gani?Me ninacho bwiru... Milioni moja na unaweza lipia kwa awam nne.
Utapata mkuu hao wanao kejeli ni madalali washazoea kuwaibia wajinga wajingaMada tajwa yahusika
Nna milioni 1 nataka kiwanja Mwanza ,kiwe mahali ambako kuna huduma ya maji na umeme,sitaki madalali
Kama kipo tupia comment yako hapa
Kama una mil mbili na nusu njoo nichek WhatsApp nikupe kiwanja kilichopimwaMada tajwa yahusika
Nna milioni 1 nataka kiwanja Mwanza ,kiwe mahali ambako kuna huduma ya maji na umeme,sitaki madalali
Kama kipo tupia comment yako hapa
Bei gani hicho cha kapripoint?Kipo Capri point, nusu heka lakin