S Seacliff Senior Member Joined Dec 1, 2010 Posts 158 Reaction score 152 Aug 7, 2011 #1 Wana JF natafuta kiwanja kwenye eneo nzuri na la low density Moshi mjini. Nitashukuru sana kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza kunipa ideas.
Wana JF natafuta kiwanja kwenye eneo nzuri na la low density Moshi mjini. Nitashukuru sana kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza kunipa ideas.
S samdala Member Joined Jan 6, 2011 Posts 37 Reaction score 1 Aug 8, 2011 #2 Mosh mjin kupata kiwanja cha low density saiv ni kazi...viwanja kama ivyo vipo nje ya mji kidogo maeneo ambayo ni karibu na mji na soon yataiingizwa manispaa....for feature hayo ndo maeneo ya kuteka nw...yanakuwa kwa kasi...
Mosh mjin kupata kiwanja cha low density saiv ni kazi...viwanja kama ivyo vipo nje ya mji kidogo maeneo ambayo ni karibu na mji na soon yataiingizwa manispaa....for feature hayo ndo maeneo ya kuteka nw...yanakuwa kwa kasi...
S Seacliff Senior Member Joined Dec 1, 2010 Posts 158 Reaction score 152 Aug 25, 2011 Thread starter #3 Cha nje ya mji kidogo ni sawa. Kama unacho naomba info nitashukuru sana.