kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 410
- 313
2 milion kiwanja moro mjini?
Kwani haiwezakani ndugu?
2 milion kiwanja moro mjini?
Nenda Kasanga utapata mkuu,ile Iringa Road kabla ya Mindu utapata
Mnavyoongea kama mnafanya kazi wizara ya ardhi bila hata research wala fact zozote mlizonazo au moro mjini mnaijua msamvu tu?
Kwa 2M moro mjini kiwanja unapata bila stress.
Mnavyoongea kama mnafanya kazi wizara ya ardhi bila hata research wala fact zozote mlizonazo au moro mjini mnaijua msamvu tu?
Kwa 2M moro mjini kiwanja unapata bila stress.
Lukobe na makunganya kwenyewe hupati wewe unasema Moro mjinið
Hata kwa chamwino 2m hapati kiwanja. Manispaa yenyewe wanauza 5,000/= kwa kila square meter mojaMnavyoongea kama mnafanya kazi wizara ya ardhi bila hata research wala fact zozote mlizonazo au moro mjini mnaijua msamvu tu?
Kwa 2M moro mjini kiwanja unapata bila stress.
bado ndugu yako ana kiwanja huko.mkundi? weka contacts zake hapaKuna mtu ameniambia ana ndugu yake maeneo ya Mkundi Nguvu kazi anauza kiwanja chake eneo ni kama 20m kwa 25m na anauza kwa 2.5.....
Kama uko serious and interested let me know ili nimuombe mawasiliano mwenye kiwanja nikupatie uende mwenyewe ukaangalie na u-negotiate nae....
Kimepimwa na kuna hatiKuna mtu ameniambia ana ndugu yake maeneo ya Mkundi Nguvu kazi anauza kiwanja chake eneo ni kama 20m kwa 25m na anauza kwa 2.5.....
Kama uko serious and interested let me know ili nimuombe mawasiliano mwenye kiwanja nikupatie uende mwenyewe ukaangalie na u-negotiate nae....
Ukimaanisha nini?Ukishindwa kujenga Morogoro hakuna mkoa utakaa uweze kujenga.
Ujenzi ni rahisi.Ukimaanisha nini?
Urahisi wake nini? Materials au Ufundi?Ujenzi ni rahisi.