kwa yeyote anayeweza kunipatia taarifa za kiwanja moshi mjini uelekeo wa kawawa kutokea moshi mjini kisiwe mbali na barabara kuu ya moshi dar na kiwe 5 - 20 km kutoka mjini moshi na 50 m kutoka barabara kuu ukitoa zile 30m za serekali. email marcus_obed@yahoo.com