Natafuta kiwanja Lugalo, Dsm

sio kwamba na shida na lugalo iyo ni sehemu maharufu nikitumia nitaeleweka zaidi
 
Ni amri au? Maana wenyeji wa pale wana mbwembwe zao...utakuta tangazo ''Huruhusiwi kutabasamu, UTAWALA''
 
Lugalo imepakana na mwenge,kawe na mbezi beach vipi msuli wa kununua uwanja huko unao?
 
Lugalo ni kambi na eneo la jeshi, wewe ukig'ang'ania unataka kiwanja Lugalo, utaingizwa mjini.

Tiba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…