John January
Member
- Mar 31, 2018
- 11
- 7
Hbr wakuu,
Natafuta kiwanja sehemu za Kigamboni, kikiwa Mji Mwema, Geza Ulole au Kibada itapendeza zaidi.
Natafuta kiwanja sehemu za Kigamboni, kikiwa Mji Mwema, Geza Ulole au Kibada itapendeza zaidi.
Kuna mtu namjua ana kiwanja kibada,maeneo ya fullshangwe kiwanja kipo block 15,kina hati ukubwa wa kiwanja ni sqmt 600.....kama uko serious na ni mtakaji naweza link naye.....Hbr wakuu,
Natafuta kiwanja sehemu za Kigamboni, kikiwa Mji Mwema, Geza Ulole au Kibada itapendeza zaidi.
Nakuja inboxKuna mtu namjua ana kiwanja kibada,maeneo ya fullshangwe kiwanja kipo block 15,kina hati ukubwa wa kiwanja ni sqmt 600.....kama uko serious na ni mtakaji naweza link naye.....
Ova
Nakuja mkuuKama bado hujapata na unahitaji Gezaulole kwenye mradi wa viwanja vipya blocks 16-24 nicheki inbox. Hili ni eneo lililo karibu na zinapojengwa ofisi za Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya pia Hospitali ya wilaya ya Kigamboni
viwanja ni sqm ngapi na bei gani mkuu huko gezaulole?Kama bado hujapata na unahitaji Gezaulole kwenye mradi wa viwanja vipya blocks 16-24 nicheki inbox. Hili ni eneo lililo karibu na zinapojengwa ofisi za Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya pia Hospitali ya wilaya ya Kigamboni
Nakuja inboxKuna kiwanja kibada sqm 1749
kuna kiwanja mwongozo sqm 630 kipo pembeni mwa mradi wa nssf wa mwongozo(ushakamilika) na ni mita 200 toka baharini.
Vyote ni vya kupima na vina hati.
Poa poa mkuu!!Nakuja inbox
Mimi changu kimbiji block d milioni 15.nafatilia offer.sq.800