Natafuta kiwanja kigamboni(kibada) na Mbweni

Udo9

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
253
Reaction score
76
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe block nzuri.
Kisiwe na mgogoro,
Dalali haitajiki.
Bei ni maelewano kati yangu na muuzaji.kati ya M24 na M 30
Mwenyenacho tuwasiliane kwa PM.
Wasalaam.
 
Kwa nini usiende ofisi za ardhi??
 
Ofice za ardhi wana hivyo viwanja katika hizo sehemu nilizozitaja?
Asilimia kubwa watakuwa navyo au hata kuwafahamu wenye navyo, vile vile itakuepusha na madalali, migogoro etc
 
Asante sana mkuu kwa ushauri.Nimekupata.
 
Nina shamba kibada, zipo ekari 30. Ni pm tuongee.
 
Ndio mkuu mimi ninalo Eneo langu naliuza hapo Goba mjini lina ukubwa wa 40 kwa 50 na bei yake 35m ila bei inapungua na pia unaweza kuchukua nusu yake
 
huo ukubwa wa 40 kwa 50 ni square m ngapi?
 
Mkuu nina plot yangu Kibada block two, Size 1200 mita za mraba. Bei ni 45 millions
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe block nzuri.
Kisiwe na mgogoro,
Dalali haitajiki.
Bei ni maelewano kati yangu na muuzaji.kati ya M24 na M 30
Mwenyenacho tuwasiliane kwa PM.
Wasalaam.
Kwa hiyo ela yako mbweni usikanyage ishia huku huko kibada!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom