Huku mambo yamekua mambo..... Hutangazwa kuhamia huku kumeleta hali ya viwanja kupanda sana bei! Kiwanja kikubwa hata robo heka unapata kwa bei hio ila pembezoni kama ntyuka ( uelekeo wa udom) au mkonze ( uelekeo wa iringa) na kwingne kunakofanana na huko. Ila hapa mjin ndan ya km10 cjuuuui ndugu yangu
Ila mm sio mzoefu sanaa. Ila ivo ndivo ninavofahamu. Na last week nimepata kwa 2m huko uelekeo wa iringa. Si mbali sana ila ni zaidi ya 10 kms. Tho daladala zinafika huko
Ila mm sio mzoefu sanaa. Ila ivo ndivo ninavofahamu. Na last week nimepata kwa 2m huko uelekeo wa iringa. Si mbali sana ila ni zaidi ya 10 kms. Tho daladala zinafika huko