Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,944
karoho kangu kanapwita nikisikia kibahaNjoo kibaha Maeneo makubwa bei nzuri.mjini kumejaa.njoo upate hewa safi
Kwa ninikaroho kangu kanapwita nikisikia kibaha
Njoo ukiangalie kipo KIBITI ukubwa heka.Nahitaji Kiwanja cha makazi kiwe kikubwa cha kujenga nyumba kubwa hata mbili na kuzungusha fensi, bara bara ifike kwenye eneo, Kisiwe karibu na Msikiti. Maeneo Mbezi ya kimara, Makabe yatapewa kipaumbele, Maeneo mengine hadi nije nione
Natamani niwe mkazi wa huko ila napishana na pesa sanaKwa nini
Usijali Mkuu.one day yes,mambo yatajipa tu .be positiveNatamani niwe mkazi wa huko ila napishana na pesa sana