Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi

Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi

Short white

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
124
Reaction score
32
Salaam Great Thinkers,

Nahitaji kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi familia yangu. Mambo ya kuzingatia katika utafutaji:
1: Maeneo - Mbezi beach; Kilimahewa; Ununio; Mbweni; Tegeta upande wa Bahari; Boko na Bunju; Kigamboni - KIBADA
2: Ukubwa wa Kiwanja - Square Meter (sqm) 2,000 au zaidi.
3: Bei - Milioni 30

Simu: +255658453737

Mdau
 
Kuna eneo madale sqm 2700 bei 35 if interested ni pm.ni barabarani
 
mi ninavyo hivyo viwanja nitakupigia tuongee
 
Salaam Great Thinkers,

Nahitaji kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi familia yangu. Mambo ya kuzingatia katika utafutaji:
1: Maeneo - Mbezi beach; Kilimahewa; Ununio; Mbweni; Tegeta upande wa Bahari; Boko na Bunju; Kigamboni - KIBADA
2: Ukubwa wa Kiwanja - Square Meter (sqm) 2,000 au zaidi.
3: Bei - Milioni 30

Simu: +255658453737

Mdau

Nitafute Kwa 0774 410153 kuna viwanja Kibada na Mbweni
 
Mkuu nina kiwanja karibu kabisa na mji mpya unaojengwa na NSSF kule Kigamboni ambapo nyumba zaidi ya 280 tayari zimekamilika. kina ukubwa wa sq. meters 2280. Bei yake 25,000,000 tu, kama bado unahitaji nipigie 0787 110 117
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom