Rancho Chand
Senior Member
- Nov 4, 2012
- 150
- 71
Wadau natafuta kiwanja maeneo ya bunju au salasala kwa condition zifuatazo
1.Ukubwa wa angalau sqm 800 na kuendelea
2. Gari lazima iwe inafika eneo husika
3.Pawe na access ya umeme
Mwenye kufanikisha deal aniPM
Wadau natafuta kiwanja maeneo ya bunju au salasala kwa condition zifuatazo
1.Ukubwa wa angalau sqm 800 na kuendelea
2. Gari lazima iwe inafika eneo husika
3.Pawe na access ya umeme
Kipo kiwanja ukipita salasala kabla ya kufika mivumoni unaweza ukapata sqm900(30*30).gari linafika umeme upo umbali wa kama km1 hivi.
unakaribishwa kupaona..

Bei ya hichi kiwanja ni milioni 8 tu mkubwa( mazungumzo yapo)
Njoo Goba viwanja vya kujimegea fastaaaa
Kuna viwanja bunju'A'. Wasiliana nami kwa 0784 228404
na nyie humu si muwe mnaweka bei na wengine tufaidike.kwa nini mnakuwa hamjiamini ?biashara inatakiwa ujiamini.kila siku watu waulize bei,bei, bei
Umepata angalia hapa:
Kiwanja na alafu kuna nyumba vyote vipo jirani na barabara ya bagamoyo eneo la Boko basihaya meter 100 toka Barabara kuu mkono wa kushoto ukiwa unakwenda Bunju, kiwanja shs 15m na nyumba 40m, umeme 15meter maji 50meter & gari inafika mpaka seating room.
KARIBU.
Sasa niangalie wapi mkuu mbona sioni chochote? Kiwanja kina ukubwa gani? Kina hati au offer ? Je na hyo nyumba ina hati au offer kama vp niku PM namba ya cn unirushie picha
Mkuu hapo sikusema hivi AU picha hii hapa ila nimesema angalia hapa!.
kuhusu hati au offer ni PM yo cellular no. then nitakucheck.
Njoo mbezi ya kimara: 25×25 ni 9 mil Tshs!
26×26 kwa 11 mil na 26×26 Kwa 15 mil Tshs!
Hivi viko Mbezi maeneo gani hasa?