Natafuta kiwanja Bagamoyo

Natafuta kiwanja Bagamoyo

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,622
Reaction score
2,220
Natafuta kiwanja bagamoyo mjini..hadi kilomo mwisho ukuni.

Kiwe na ukubwa wa kutosha..

Umeme uwepo na kisiwe mbali na barabara, sihitaji dalali..

Kisiwe na mgogoro na hati iwepo.

Bajeti mil 5.

Karibuni.
 
Natafuta kiwanja bagamoyo mjini..hadi kilomo mwisho ukuni.

Kiwe na ukubwa wa kutosha..

Umeme uwepo na kisiwe mbali na barabara, sihitaji dalali..

Kisiwe na mgogoro na hati iwepo.

Bajeti mil 5.

Karibuni.
Masharti mbona hayaendani na bajeti kaka?
 
Natafuta kiwanja bagamoyo mjini..hadi kilomo mwisho ukuni.

Kiwe na ukubwa wa kutosha..

Umeme uwepo na kisiwe mbali na barabara, sihitaji dalali..

Kisiwe na mgogoro na hati iwepo.

Bajeti mil 5.

Karibuni.
Kipo Sanzale umeme upo karibu , dakika 5 kwa gari hadi barabara kuu 0712652110
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom