Karimu123 JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 243 Reaction score 114 Nov 10, 2015 #1 Habari wakuu Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Ngulelo mpaka kwa pole kiwa kina ukubwa kunzia mita 25 kwa upana na urefu kuanzia 30 hata na zaidi pia liwe eneo linalofaa kuongeza endapo siku nitahitaji nina 7mil cash.
Habari wakuu Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Ngulelo mpaka kwa pole kiwa kina ukubwa kunzia mita 25 kwa upana na urefu kuanzia 30 hata na zaidi pia liwe eneo linalofaa kuongeza endapo siku nitahitaji nina 7mil cash.
Karimu123 JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 243 Reaction score 114 Nov 12, 2015 Thread starter #2 aisee dau dogo ama
Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,410 Nov 12, 2015 #3 Huwezi kupata kwa bei hiyo. Andaa kuanzia 16M ndo bei zilizopo kwa size na maeneo hayo. Mwenyewe natafuta maeneo uliyosema ukipata nishtue nami.
Huwezi kupata kwa bei hiyo. Andaa kuanzia 16M ndo bei zilizopo kwa size na maeneo hayo. Mwenyewe natafuta maeneo uliyosema ukipata nishtue nami.