JayJay11 Senior Member Joined Dec 9, 2015 Posts 136 Reaction score 139 Sep 7, 2016 #1 Habari zenu Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
Habari zenu Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
Farudume12 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 621 Reaction score 352 Sep 7, 2016 #2 Nenda kariakoo, mafundi wako wengi. huko hutakosa..!