Airport ( Mwl Nyerere ) pale huwa naona bonge la kifusi.Wakuu natafuta kifusi cha bure au bei rahisi. site ipo pugu Dar es salaam
Wamemaliza aisee hawatoi tena.Airport ( Mwl Nyerere ) pale huwa naona bonge la kifusi.
Halafu waneandika hawauzi kwa anayetaka. Kajaribu kuuliza unaweza kuzoa uwezavyo
pale walikuwa wanatoa ila kwa,sasa,sina uhakika kama,bado wanatoaAirport ( Mwl Nyerere ) pale huwa naona bonge la kifusi.
Halafu waneandika hawauzi kwa anayetaka. Kajaribu kuuliza unaweza kuzoa uwezavyo
Chukua mbaula kabisa... Ukibeba ubebe kingiMbezi ipi hiyo mkuu. mi nataka nikipeleke pugu cost si itakuwa kubwa sana.
Tumia busara basi mkuu. Mtu anashida unafanya mizaha, sio poa. Kesho na wewe unashida mtu anakuja kukuletea mizaha badala ya kukupa msaada utajiskiaje best..... Usiwe hivyo.KIFUSI CHA BURE Kabisa huwa kipo makaburini ukifa wanakuandalia kifusi bure kabisa tena wanakujazia kwelikweli!
Hivyo usitake sana vya bure!
HAKUNA KIFUSI CHA BURE KABISAA maana lazima patahitaji nguvu hata kama unakitoa mtaa wa pili!
ushauri wangu, kama unakiwanja kikubwa eneo la mbele lichonge uwe kama unalisawazisha utapata kifusi;
Pill chimba shimo la choo ongezea kifusi tatu chimba shimo jingine la taka chukua kifusi halafu hilo shimo jipe mda wa kulijaza taka taratibu ndani ya miaka miwili litakuwa limejaa
NNE
tengeneza floor yenye steps sebulen na dining weka step ili kubalance wingi wa kifusi!
Wewe ndo huna busara umesgindwa nn kuelewa nilicho andikaTumia busara basi mkuu. Mtu anashida unafanya mizaha, sio poa. Kesho na wewe unashida mtu anakuja kukuletea mizaha badala ya kukupa msaada utajiskiaje best..... Usiwe hivyo.
kwenye jamii watu kama hawa,hawakosekani mkuu. kwa hiyo asikupe shidaTumia busara basi mkuu. Mtu anashida unafanya mizaha, sio poa. Kesho na wewe unashida mtu anakuja kukuletea mizaha badala ya kukupa msaada utajiskiaje best..... Usiwe hivyo.
Anaye tafuta kifusi cha bure anitafute 0715088880 mbezi ya kimara kwa mwezi huu tuWakuu natafuta kifusi cha bure au bei rahisi. site ipo pugu Dar es salaam