Natafuta kiben ten

 
Duh hii inaonyesha ni jinc gani vijana wanakata tamaa mapema na maisha binafc siwezi kua na mwanamke nisie mpenda kisa anapesa hua cjui kufanganya hasa kwenye mapenzi bora nikabebe zege ili kua huru tukitibuana kila mmoja ki vyake
 
Mi nataman kujua una miaka mingapi Madam...
 

Naona Madam Vivian unatafuta Msaidizi wa ndani wa kiume na siyo kiben kumi kazi zote hzo afanye kiben kumi kweli..
 
Mzee baba hii cover letter imesimama
 
kuna ujumbe mwingine huwa unawasilishwa kwa njia ya utani utani kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…